Habari zenu wakuu naombeni msaada kwa yule anayefahamu kuusu selection za kwenda vyuoni kwa wahitimu wa kidato cha 4 mwaka huu kuna baadhi ya vijana hawajapata post za kwenda kidato cha 5 sasa wamekuwa wakiulizia kuusu post za vyuo nawasilisha wakuu.....