Msaada: Kuvimba kwa uume wa mtoto mdogo

Msaada: Kuvimba kwa uume wa mtoto mdogo

Possibles

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
1,933
Reaction score
2,439
Nawasalimu wanaJF.
Nina mtoto wa kiume ana umri wa mwaka na nusu.Leo ameamka akiwa na uvimbe kwenye uume wake.Sasa leo jioni uume umeanza kutoa usaha na uvimbe umeongezeka kidogo.

Naomba wenye kujua watusaidie tatizo ni nini?
Je, linatibika?
Linatibikaje?
halina athari kwa uanmme wake?
MUHIMU;Mwanangu yuko kijijini na mama yake kiofisi hivyo kapanic balaa.

Naomba nisaidiwe.
 
Hiyo ni bacterial infection inawezekana ilitokana na kukaa chin au pampers kwa sana mpe cloxacin syrup halaf kesho umpeleke hospital kwa uchunguz
 
Hiyo ni bacterial infection inawezekana ilitokana na kukaa chin au pampers kwa sana mpe cloxacin syrup halaf kesho umpeleke hospital kwa uchunguz
Nashukuru sana mdau.
Je, uwanaume wake utanusurika?
 
Pia huenda uchafu umejazana kwenye govi Lake, mtahiri please
 
Nawashukuru sana uchungu na Mzee@RAZA kwa sasa amepona nilitumia antibiotics. Sasa inabidi tu nimtahiri.
 
Boss mwanangu kapata tatizo kama la mwanao
Pole sana. Fuata maelekezo ya wadau hapo juu. Mimi yalinisaidia. Hospitali watakushauri vizuri dawa za kutumia lakini jitahidi baada ya hapo umtahiri.
 
Pole sana. Fuata maelekezo ya wadau hapo juu. Mimi yalinisaidia. Hospitali watakushauri vizuri dawa za kutumia lakini jitahidi baada ya hapo umtahiri.
Asante boss anaendelea na dozi baada ya mda kidg ntamtahiri
 
Nawasalimu wanaJF.
Nina mtoto wa kiume ana umri wa mwaka na nusu.Leo ameamka akiwa na uvimbe kwenye uume wake.Sasa leo jioni uume umeanza kutoa usaha na uvimbe umeongezeka kidogo.

Naomba wenye kujua watusaidie tatizo ni nini?
Je, linatibika?
Linatibikaje?
halina athari kwa uanmme wake?
MUHIMU;Mwanangu yuko kijijini na mama yake kiofisi hivyo kapanic balaa.

Naomba nisaidiwe.
Nunua dawa ya kupaka inaitwa Sonedarm ina rangi ya njano flani hivi ni cream paka mara chache tu atapona ni infection tu

USSR
 
Back
Top Bottom