Asante boss anaendelea na dozi baada ya mda kidg ntamtahiriPole sana. Fuata maelekezo ya wadau hapo juu. Mimi yalinisaidia. Hospitali watakushauri vizuri dawa za kutumia lakini jitahidi baada ya hapo umtahiri.
Nunua dawa ya kupaka inaitwa Sonedarm ina rangi ya njano flani hivi ni cream paka mara chache tu atapona ni infection tuNawasalimu wanaJF.
Nina mtoto wa kiume ana umri wa mwaka na nusu.Leo ameamka akiwa na uvimbe kwenye uume wake.Sasa leo jioni uume umeanza kutoa usaha na uvimbe umeongezeka kidogo.
Naomba wenye kujua watusaidie tatizo ni nini?
Je, linatibika?
Linatibikaje?
halina athari kwa uanmme wake?
MUHIMU;Mwanangu yuko kijijini na mama yake kiofisi hivyo kapanic balaa.
Naomba nisaidiwe.