azzurre
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 107
- 96
Hi wana JF.
Nawashukuru sana wana JF kwa michango yao kwangu, namuomba mungu awape maisha bora hapa duniani na ya baadae.
Mimi huwa nasumbuliwa sana na maradhi ambayo sina uhakika wa jina lake lakini huwa napewa majina na nnao wa hadithia, namna nnavyo umwa, huwa naambiwa nna "HIJAB" au "MANGE" na ww unaweza ukawa najina la maradhi haya yanayonikabili.
Historia yake.
Tangu nizaliwe nilipata maradhi haya nikalazwa hospitali, kwn yalinivimbisha uso pamoja na kifua ikawa haijulikani macho, pua nk, nikafanyiwa uperesheni ya kutengeneza uso na shukuru uso umepungua ijapokuwa kwenye taya hakujarudi km asili yake.
Dalili za maradhi haya ni;
1. Kuumwa nakichwa sana.
2. Kuumwa na macho huwa yanawasha na kutoa machozi kwa sana, pamoja na macho kuwa mekundu sana.
3. Kuumwa uti wa mgongo hadi kwenye kisigino.
4. Kuvimba eidha kwenye fidhi au sehemu ya kichwa na kutoboka na kutoa harufu kali ya usaha.
5. Huwa sikauki flue, au huwa haikai muda mrefu inarejea flue na magua.
6. Ukitumia nyama ya ngombe, dagaa au viyu vyrnye baridi kali huwa nikichocheo cha kuengezeka maradhi.
7. Huwa naota ndoto mbaya sana, ikiwemo kuteswa, ndoto za kuruka, kuota nyoka mweusi nk.
8. Kuchoka sana, hata km ndo kwanza naamka kutoka usingizini.
Maombi yangu kwa wana JF
Naomba anayejua tiba ya kuondosha tatizo hili parmanent, kwn huwa natumia tiba linapungua alafu linakuja, na mara nyingi huwa ukitumia dawa za hospitali huwa haliondoki tatizo hata kidogo.
Naomba msaada wenu wana JF, Na zaidi Mzizimkavu proffessor.