barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Hata mimi umekataa kufutika aisee
Huwa hamuogi wala kunawa kwa ujumla, simple! Muache uchafu! Mimi ulitoka wenyewe bila hata kutumia nguvu ndani ya wiki.
Wewe na mafalla wenzio wino ulitoka sababu wengine ni madobi na waosha magari.
Msijifananishe na sisi,kuoga kunahusiana vipi na wino ulioko kwenye kucha?
Mii sikupaka wino..lkn kura nilipiga,sijapata usmbf kama huo.
Nec walisema kwa kawaida wino huo unadumu kwa zaidi ya masaa 72,
Hivyo washitakiwe kwann hawakutoa ufafanuzi kuwa ikitokea wino umekaa zaidi ya wiki,Mpiga kura atumie nn kuondoa mi wino yao.
Wapeleke hao.