Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
- Thread starter
-
- #21
Fuata huu ushauri manake hautakudhuru kitu. Nenda dukani sasa hivi kama hujanywa chai. Nunua dawa ya minyoo broad spectrum (yaani inayoua minyoo yote) afu utumie. Usile kitu for 1 hour. Jizoeze kunywa dawa ya minyoo kila miezi 6. Haiambukizwi, ni hayo makachumbari ya kwenye vyepe.
Kama bado nenda dispensary ya chuo,soi umekatwa hela ya matibabu?
Jamani hamujamuelewa jamaa anawashwa haya wale wenye mambo yale ya kule kwa naniii anahitaji kukunwa huyu
DuhhhhhhhhhhJamani hamujamuelewa jamaa anawashwa haya wale wenye mambo yale ya kule kwa naniii anahitaji kukunwa huyu
Kama umebadilisha sabuni tofauti na hiyo unayotumia au Kama unakawaida ya kujisaidia na kujifuta na tissue bila Maji .
Dawa ni kujikuna tu. Kila uwashwapo we jikune.
poa dadaangu, ntajitahd kwe kesho asubuh nipate vidonge kabla cjatia kitu kwa 2mbo.
Possibly ni minyooo...tabia ya minyoo ikishazidi tumboni huwa inaenda kutaga mayai kwenye anus(******) na hilo linapotokea ndipo unapojisikia kuwashwa mkunduni...kwa jinsi hii unapojikuna ukijisahau usinawe vizuri mikono yako ukiulamba huo mkono uliojikuna nao unakuwa umekula mayai ya minyoo hivyo inarudi tena tumboni ambako inajitotoa na kuzidi kuongezeka. Nakushauri upate dawa ya minyoo mapema sana..na ukujikuna huko mkunduni hakikisha mikono unanawa vizuri kabla ya kula.
Pole sana mkuu.
Utajitahidi au utahakikisha?
hawa ni Pin worm ndo wana tabia hii hivo jaribu dawa kama walivyo suggest wengine na kama ungekuwa na mtu unashare nae kitanda ingebidi umtibu pia make huwa inahama esp usiku unapolala. All the best ktk matibabu
Please be serious !Jamani hamujamuelewa jamaa anawashwa haya wale wenye mambo yale ya kule kwa naniii anahitaji kukunwa huyu