Msaada kwa ajuae bei ya kupata leseni ya kukusanya chuma chakavu mtaani

Msaada kwa ajuae bei ya kupata leseni ya kukusanya chuma chakavu mtaani

sudybrainy

Member
Joined
Oct 8, 2018
Posts
7
Reaction score
7
Salaam wakuu,

Naomba wakuu mwenye uzoefu na biashara ya vyuma chakavu anieleweshe jinsi ya kupata vibali kimoja baada ya kingine na leseni pamoja na bei zake.

Kwa mfanyabiashara mdogo tu mwenye fremu na mtaji wa laki5 ambaye hasafirishi nje ya mkoa
 
salaam wakuu, naomba wakuu mwenye uzoefu na biashara ya vyuma chakavu anieleweshe jinsi ya kupata vibali kimoja baada ya kingine na leseni pamoja na bei zake kwa mfanyabiashara mdogo tu mwenye fremu na mtaji wa laki5 ambaye hasafirishi nje ya mkoa
 
Umeamua kufanya kazi ngumu sana mkuu.
Lakini inalipa ukiwa mkubwa nayo kwa maana ya mtaji.

Ukiwa mwizi ndio kabisaa, mawe ya kilo moja,moja unakuwa nayo matatu, la uzito mkubwa kidogo kuliko kilo moja, hili unanunulia ili mtu aweke chuma kiasi kingi kuliko uhalisia
Na la uzito halali hili ni wewe ukienda kwa ma player wakubwa. Yanachongeshwa kariakoo, jiwe limeandika mfano 1kg lakini kiukweli linapima 1.4-7kg
😀
WALINIAMBIA WADAU
 
Lakini inalipa ukiwa mkubwa nayo kwa maana ya mtaji.

Ukiwa mwizi ndio kabisaa, mawe ya kilo moja,moja unakuwa nayo matatu, la uzito mkubwa kidogo kuliko kilo moja, hili unanunulia, la uzito mdogo kuliko kilo halisi hili unauzia ma player wadogo wanaokuja kununua kwako. Na la uzito halali hili ni wewe ukienda kwa ma player wakubwa
😀
WALINIAMBIA WADAU
Hakika ya Mizani ni Haki
 
Back
Top Bottom