Msaada kwa aliewahi kufaulu Uptitude Test ya Alistair Company Ltd

Msaada kwa aliewahi kufaulu Uptitude Test ya Alistair Company Ltd

Zero Competition

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2018
Posts
347
Reaction score
553
Habari za muda huu

Kama wiki imepita nilifanya Aptitude test ya Alistair Company sasa juzi wamenitumia majibu yangu kwamba nimefaulu

Kuna mtu hapa alishawahi kufaulu hii test yao ? Na je baada ya kufaulu nini kilifuata ?

Mana mimi wameniambia kwamba timu yao ya kuajiri ina screen Cv yangu ila sijajua nini kinafuata

Naomba kwa yoyote mwenye ufahamu anijuze

Ahsante
 
Watakutumia email tena uji record video ukijibu maswali kadhaa kisha uyatume whatsapp.

Kwa hiyo kama ulifanyiwa mtihani jua namna ya kuua soo usiumbuke

Sio ulijibu vizuri English afu kwenye whatsapp ni yo' yo' kno' woramsei

utapata taabu sanaa
 
Back
Top Bottom