Habari za muda huu
Kama wiki imepita nilifanya Aptitude test ya Alistair Company sasa juzi wamenitumia majibu yangu kwamba nimefaulu
Kuna mtu hapa alishawahi kufaulu hii test yao ? Na je baada ya kufaulu nini kilifuata ?
Mana mimi wameniambia kwamba timu yao ya kuajiri ina screen Cv yangu ila sijajua nini kinafuata
Naomba kwa yoyote mwenye ufahamu anijuze
Ahsante