Peter1992
Member
- Jan 13, 2013
- 7
- 1
Naomba msaada kwa yoyote alie karibu na embassy ya Tanzania iliyopo Paris.
Kuna scholarship nimepata ya kusomea udaktari wa upasuaji wa masuala ya ubongo na uti wa mgongo (neurosurgery) na ninahitajika kupeleka documents zangu kupitia embassy ya Paris ambayo inawakilisha pia na Morocco kwenda kwa Moroccan agency of international cooperation(AMCI) ili niweze kuunganishwa na chuo kwaajili ya kuanza masomo.
Nimeshatuma documents zote isipokuwa sijajibiwa na hata nikipiga simu hazipokelewi.
Natanguliza shukrani zangu.