Ndugu nisaidie na mm asee natafuta scholarship kusoma udaktari MD, sijapata bado.....nchi za kiingereza na UsCheck PM, nimekuwekea email ya uongoz wa Diaspora na namba ya mmoja wa jamaa wa uongozi.
Nimeshafanya hivyo ile wamesema haiwezekani.Wew uko wap??kama uko Tanzania kwa nini usianze na ubalozi wa ufaransa uliopo dar then wakupe muongozo mkuu..mbona suala rahisi sana sababu hata resident permit utapata kupitia balozi ya ufaransa iliyopo Tanzania..fanya communication hapo bongo then mambo yatajipa.
Kama uko Tanzania nenda ofisi ya wizara ya mambo ya nje
Ninachokijuwa mimi mji wa kiserikali wa Ufaransa ni Nice na siyo Paris.Naomba msaada kwa yoyote alie karibu na embassy ya Tanzania iliyopo Paris.
Kuna scholarship nimepata ya kusomea udaktari wa upasuaji wa masuala ya ubongo na uti wa mgongo (neurosurgery) na ninahitajika kupeleka documents zangu kupitia embassy ya Paris ambayo inawakilisha pia na Morocco kwenda kwa Moroccan agency of international cooperation(AMCI) ili niweze kuunganishwa na chuo kwaajili ya kuanza masomo.
Nimeshatuma documents zote isipokuwa sijajibiwa na hata nikipiga simu hazipokelewi.
Natanguliza shukrani zangu.
Mimi naomba nikushauri au nikupe muongozo, cha kwanza hakuna kinachoshindikana duniani na riziki inatoka kwa Mungu.Ndugu nisaidie na mm asee natafuta scholarship kusoma udaktari MD, sijapata bado.....nchi za kiingereza na Us