nilinunua hisa kwenye UNIT TRUST OF TANZANIA( UMOJA), miaka kumi na kitu iliyopita. tofauti na hisa nilizonunua sehemu nyingine , mfano TANGA CEMENT NK, hii la umoja sijawahi kupata gawio muda woote huo , jamani naomba msaada kwa wajuzi nifanyeje ama nipate gawio kama liko au niachane na mfuko huu sina faida nao.