Kwa yeyote yule aliyegraduate PGDE Open university of Tanzania naomba anisaidie jinsi ya kuandika project au guidelines za kuandaa project coz hawa jamaa huwa hawatoi chochote wanasema tubuni title then tuandike tutakavyojua.

Nakuonea huruma kwani PGDE haina dili tena. Mkoa wa Iringa Manispaa na Halmashauri ya Kilolo wamekataa kuwaajiri waliomaliza PGDE ktk ajira mpya mwaka huu 2014. Kama huamini chagua kupangwa Iringa uone kama utaupata huo ualimu.
Mkuu wanasema nisababu gani zinazowafanya wawakatae wakati wizara ya elimu inawatambua na imewapa nafasi, kazi ya halmashauri ni kuwapokea na kuwapangia vituo, kutowatambua ilikuwa nikazi ya wizara ya elimu sio halmashauli