Msaada:kwa aliyeko dar na ana mpango wa kuwa maeneo ya udsm kesho asubuhi.

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Nataka anisaidie kucheki jina langu nimepangwa hostel gani,maana me niko mkoani na kuja huko ni hadi next week!kama yupo naomba nimPM jina langu anisaidie..
 
nataka anisaidie kucheki jina langu nimepangwa hostel gani,maana me niko mkoani na kuja huko ni hadi next week!kama yupo naomba nimpm jina langu anisaidie..

nauli inakuaje???
 
owkay, ipo kwny admision letter, ss kama bad hujaenda kuchukua dat means itakuw ngum

we hauko dar ukanichekie hapo chuon maana naskia wamebandka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…