Msaada kwa aliyepata majina ya Sensa wilaya ya Temeke

Msaada kwa aliyepata majina ya Sensa wilaya ya Temeke

siwacheusi

Member
Joined
Jul 11, 2022
Posts
24
Reaction score
11
Habarini wakubwa!

Kuna aliyepata/ ona majina ya waliochaguliwa kwenda kwenye semina wilaya ya temeke? Maana naoma majina yametoka kwa wilaya nyingi ila ya temeke sijayaona.
 
Temeke sijui wana shida gani huu ni uzembe wa hali ya juu haiwezekeni yaani semina kesho majina hayajatoka mpaka sasa kweli?
 
Huo sio utaratibu, ni lazma majina yatoke na eneo la kituo kwa ajili ya semina
Watu walibadilisha chama na wakaendelea kua wabunge sembuse sesna.
Utaratibu sio bongo
 
Mtoa mada una matatizo Unashindwa nini kusubiria? Kama uliweza kuvumilia mchakato wote tangu mwanzo unashindwa nini kusubiria muda huu, ukizingatia ushagundua ni tabia yao kuchelewa
 
Mtoa mada una matatizo Unashindwa nini kusubiria? Kama uliweza kuvumilia mchakato wote tangu mwanzo unashindwa nini kusubiria muda huu, ukizingatia ushagundua ni tabia yao kuchelewa
Na dhani sio kuwa nina tatizo is ipo kuwa nilitala kujua tu kama wengine wamepata au laah...na ndio maana kuwa na jukaa kama hili
 
Back
Top Bottom