Msaada kwa aliyesoma Database administration na yeyote anayejua hii.

dottoz

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2012
Posts
1,510
Reaction score
870
Msaada jamani kuhusu database administration..vp hii inakuweje?..na kaz zake zpo?
 
kama unataka kusomea hiyo wewe soma computer science coz utafaham hiyo database admn na pia na vitu vingi.
 
kama unataka kusomea hiyo wewe soma computer science coz utafaham hiyo database admn na pia na vitu vingi.

mkuu mie nataka kusomea 2 hyo k2 basi ili niwe na cheti chake kzuri vp kuhusu ajira zake?
 
mkuu mie nataka kusomea 2 hyo k2 basi ili niwe na cheti chake kzuri vp kuhusu ajira zake?

Huwezi pata kazi nzuri kwa kusomea DBA Certification. Unatakiwa uwe na atleast Diploma au Degree ya ICT.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…