Kwanza naanza kwa kuwtakia hali pia kwa ushirikiano wen mzur wana JF.mimi nlkuwa napenda kufaha vitabu vpi vinahitajika vya HGE na mwandishi wa icho kitabu na edition mwaka msaada kwa anaye fahamu.thnkx.

Labda nitoe nusu msaada
mimi nimesoma HGL kwa hiyo nitakupa idea ya History and Geography
History ni kitabu cha Mastering History cha Mwl Kato au waweza Chukua Zisti Kamili ya History pia
Geography kuna pamphlet ya Practical Geography ya Zisti pia ni nzuri
Physical Geography Chukua Msabila au David Waugh