Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 14,834
- 32,522
Wakuu namba yangu kuna kipindi niliitumia muda mrefu sana kwenye gb WhatsApp, ila zilivyoanza zile ban niliachana nayo nikadownload official whatsapp.
Sasa changamoto niliyonayo, namba kwenye android inafanya kazi fresh..ila nikilogin kwenye iOS inanambia nidownload official WhatsApp, nimetroubleshoot ios kwa kujaribu kuregister namba nyingine yenyewe imekaa, hapo nimeconfirm tatizo ni namba.
Sasa najiuliza kwanini wanipige ban kwenye ios pekee na sio android, je kuna namna ya kuomba review na kuondoa ban kama ipo, nawasiliana nao vip maana support yao wanaishia kunitumia sms za bot!
Natanguliza shukrani!