Msaada kwa aliyewahi kutumia bidhaa hizi!

Mbwa dume

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
5,934
Reaction score
10,206
Heshima kwenu!mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30
nasumbuliwa na tatizo la chunusi kubwakubwa usoni
nimejaribu kuuliza wataalamu wa masuala ya ngozi wakasema ngozi yangu ni ya mafuta hivyo nimejaribu kubadiri aina za lotion chunusi zinapungua then zinarudi tena!
hivi karibuni nikaona tangazo kuhusu kampuni ya Grace product ambao hutengeneza vipodozi asilia
nilifuatilia vipindi vyao kupitia channel ten
baada ya kuona shuhuda mbalimbali nikaamua kununua bidhaa zao sabuni na lotion kama nilivyoshauriwa na mtaalam wao na akanieleza tatizo litaanza kuisha baada ya siku 3!
hivi sasa ni zaidi ya wiki mbili nimesharudi mkoani kwangu naendelea na kutumia bidhaa hizi lakini chunusi zinazidi kila kukicha!
naomba mwenye uelewa na bidhaa hizi anijuze ikiwa kweli zinasaidia ama nitumie nini kumaliza tatizo langu...
natanguliza shukurani.....!
 

Mbwa dume tafuta mbwa jike na uache kupiga puli
 
Kwa sasa acha kutumia hiyo cream. Je una tatizo la kupata haja kubwa? Jaribu kubadilisha ulaji wako kwa kuongeza mboga mboga na matunda kwa wingi, na kupunguza vitu vya mafuta. Ikishindikana, nijulishe.
 
Da juanither 0714292929, mtafute huyu ana dawa na unatumiwa kokote ulipo.
 

Kunywa maji mengi kila siku hadi lita 3.5
kula mboga majani na matunda kwa wingi
Kula vyakula ambavyo havijakobolewa
Hakikisha unapata choo kilaini kila siku
Pakaa mafuta ya nazi
fanya mazoezi
kuwa msafi muda wote
 

Achana na lotion kabisa, kuna dawa nitakuagizia za vidonge na kupaka usiku, h
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…