Msaada kwa aliyewahi kutumia haya mafuta

Nyangwada

Senior Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
143
Reaction score
183


Naomba msaada kwa aliyewahi kutumia haya mafuta, mimi ni mweusi tii, na ngozi yangu ni kavu nimejaribu kutumia aina mbalimbali ya mafuta lakini yamekua yakinikataa. Kuna mtu kanishauri nitumie hayo mnayoyaona pichani ( Rinju body butter cream). Je kutokana na ngozi yangu yatanifaa?
 
kwa kua una ngozi kavu na hiyo ni Cocoa Butter basi haujatoka nje ya key..... Tumia tu Bro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…