Msaada kwa anae fahamu.

mkuu si ukaulize baraza? NECTA? google necta utapata simu zao then call them, samahani kama nitakuwa nipo tofauti
 
Eti results slip zinatoka lini?

acha uffala wewe,unakurupuka kurupuka huko unakuja kutuandikia upuuzi humu..!unaulizia result slip ya mtihani gani?mwaka gani?wewe utakuwa mgonjwa..!
 
Hatuendi hivyo mkubwa mi nimeuliza kwa anae fahamu lini zinatoka kwani kuna ubaya gani ?
Mim nikiwa kama binadamu sijakamilika nimesahau kuandika kam ni za 0-level au A-lvl ila nazungumzia za f0rm 4 za mat0keo mapya
 
mkuu si ukaulize baraza? NECTA? google necta utapata simu zao then call them, samahani kama nitakuwa nipo tofauti.

P0a mkubwa nimekusoma
 
Zinapaswa kutoka mapema sana ili zitumike kuombea shule. Nadhani zinakuwa printed mara utakapoomba. Kuna ka-ada flani unalipia. Kwa hiyo nenda baraza, lipia na kujaza fomu. Kesho yake ndo unafuata. Kama uko mbali unaweza kuagiza mtu as long as anajua namba ya mtihani, ya shule, jina lako kamili na la shule.
Hatuendi hivyo mkubwa mi nimeuliza kwa anae fahamu lini zinatoka kwani kuna ubaya gani ?
Mim nikiwa kama binadamu sijakamilika nimesahau kuandika kam ni za 0-level au A-lvl ila nazungumzia za f0rm 4 za mat0keo mapya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…