Msaada kwa anae jua bei ya injini ya Suzuki Carry pamoja na gearbox yake kwa Dar

Msaada kwa anae jua bei ya injini ya Suzuki Carry pamoja na gearbox yake kwa Dar

plasido

Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
27
Reaction score
10
Mimi nipo Arusha ila ninashida ya kupata hii kitu kwa dar es salaam ni bei gani.
 
Nakuinbox namba ya mtu wasiliana nae anaweza kukusaidia anafanya biashara ya spea za magari
 
I spend about 2-3 hours watching a live transmission of Expedition 50 Spacewalk of which Commander Shane Kimbrough and flight engineer Peggy Whitson of NASA had to perform a complex upgrade to the international space station's power system.What an experience,Human being performing what she/he does best in the space through Huston control center,Amazing!!. Upcoming live event will be on Friday, Jan 13,7 a.m. (NASA TV begins at 5:30). Don't miss it.
 
mkuu hiyo namba ungeiweka hapa tu jamaa atapata ridhiki.Mi natafuta giabox ya manual ya hilux sio ya fourwheel. engen ni 3y petrol
 
Injini ya kirikuu haizid laki 1
Engine ya Carry ( Carburetor ) huwezi kupata chini ya 1,350,000 iwapo haijafunguliwa kabisa.Kuna hizi Engine za Carry naambiwa zinaitwa za Injection (naomba kusahihishwa) hizo bei zake zipo chini hata 1.2m waweza kupata
 
Back
Top Bottom