Angalia website ya Tumaini siku ya kufungua wanafunzi wa mwaka wa kwanza uende chuoni. Wengi huwa hawapati barua.bodi ndo vile loan imenitosa bt chuo nimepangiwa Tumaini University Iringa nilikua naomba msaada maana mpaka sasa nikienda ktk post box sioni admission latter hvyo ni mimi tu au pia vipo vyuo vingne mpaka sasa havijatuma admission? naombeni ufafanuzi wakubwa!

Nwdayz hawatumi, kutokana na uzembe wa hapa na pale, ni idad ya wanafunz ni weng. Unaweza ukaifatilia chuo, au siku ya kufungua chuo ukifika pale wanagawa barua. Mimi ndivyo nijuavyo mimi.

shukran mkubwa ckuwa na wazo kama hilo