Msaada kwa anaefahamu.

General mex

Senior Member
Joined
May 1, 2011
Posts
158
Reaction score
185
Wadau naombeni mawazo yenu kuhusiana na hii course ya Actuarial science. Ni course iliyoanza kufundishwa mwaka jana hapo Udsm, na je, soko lake la ajira liko vipi?

ni nzuri,bt hamna tofaut kubwa kat yake na finance,statistcs na economics.

Wadau naombeni mawazo yenu kuhusiana na hii course ya Actuarial science. Ni course iliyoanza kufundishwa mwaka jana hapo Udsm, na je, soko lake la ajira liko vipi?

uzuri wa kozi unafikiri ukoje?. Hakuna kozi ambayo inaanzishwa bila ya kufanya utafiti wa uhitaji wa hiyo kozi.

Thank you kwa msaada wako. Mi kwangu kozi nzuri ni ile ambayo ni rahisi kupata kazi na pia isiwe imespecialize sana kuwe na uwezekano wa kupata kazi sehemu nyingi. Asante kwa majibu yako mazuri.

kama ipi sasa?

Kama hiyo Actuarial maana nimejibiwa haina tofauti sana na finance na statistics kwa hiyo mi naona itakua poa.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…