Msaada kwa anaejua kuhusu minjingu mines & fertilizer ltd

Joined
May 24, 2012
Posts
16
Reaction score
1
Naomba kujua hawa jamaa wanalipaje kwa Bachelor holder pamoja na marupurupu mengine, pia kama una information zao zaidi unaweza nipa.
Naomba kuwasilisha.
 
Wadau mbona kimya, it means hakuna yeyote anaewajua hawa jamaa japo kidogo? I'm still waiting 4 ur replies guyz...
 
Ukumbuke madini ya phosphate ni hatari kwa afya yako.
 
Hiki ni kiwanda cha mbolea ya kupandia ipo kama udongo hivi,kipo nje kidogo ya manispaa ya arusha na mdau wake mkuu ni kiongoz mkuu kama vipi ki google utaelewa zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…