Kama uandaaji wa vitabu vya kodi kwa upande wa mfanya biashara je huandaliwa sawa na vitabu/makabati (samahani kwenye A/C ndivyo tulikuwa tunaziita) vya/ya income statement na balance sheet ??
Na je ni vitabu ivyo vitatu muim kwny biashara au kuna vingne zaid??
Na pia ni vitu gani vinahusika kwenye kitabu husika???
Na mambo mengine ambayo utaona ww ni muim kwny topic hii