Alex Makumbi
Member
- May 25, 2022
- 6
- 4
Tegeta karibu na China town kuna kiwanda paleHabari zenu wakuu
Naombeni msaada kama Kuna mtu anafahamu Wanapouza Vifungashio Kwa Bei ya Kiwandani kama vile chupa nzuri za kuwekea bidhaa au Kopo kama za kuwekea mafuta ya kupakaa mwilini iwe TANZANIA au KENYA
Ooooh Asante sana kiongoz[emoji120]Yaani mtu akuuzie kitu sawa na bei ya kiwandani? Sasa faida yake itakuwa ni ipi?
Kitu unaweza kufanya kama order yako ni kubwa, fika kwenye viwanda vinavyounda plastic utengenezewe model yako pekee...
Asante[emoji120][emoji120]Tegeta karibu na China town kuna kiwanda pale
Wapo wanao uza kwa Bei ya Jumla Bei rahisi tu ila wao wanatoa Kenya,ila Kopo ninazo zitaka mm wao hawanaYaani mtu akuuzie kitu sawa na bei ya kiwandani? Sasa faida yake itakuwa ni ipi?
Kitu unaweza kufanya kama order yako ni kubwa, fika kwenye viwanda vinavyounda plastic utengenezewe model yako pekee...
Wanaitwa Polytech unaweza kuwa seach onlineAsante[emoji120][emoji120]
Habari zenu wakuu
Naombeni msaada kama Kuna mtu anafahamu Wanapouza Vifungashio Kwa Bei ya Kiwandani kama vile chupa nzuri za kuwekea bidhaa au Kopo kama za kuwekea mafuta ya kupakaa mwilini iwe TANZANIA au KENYA