PAFECT Member Joined Apr 19, 2013 Posts 16 Reaction score 2 Oct 2, 2013 #1 Je kwa sisi amabao hatukua na mkopo last year lakini tukajikongoja kwenda chuo wenyewe, na mwaka huu tukaomba mkopo , majina au matokeo yetu yako wapi coz kila alieomba hajapata matokeo yake, msaada kwa aliebahatika kupata matokeo yake. Ahsanteni.
Je kwa sisi amabao hatukua na mkopo last year lakini tukajikongoja kwenda chuo wenyewe, na mwaka huu tukaomba mkopo , majina au matokeo yetu yako wapi coz kila alieomba hajapata matokeo yake, msaada kwa aliebahatika kupata matokeo yake. Ahsanteni.