Msaada kwa anaejua.....

Msaada kwa anaejua.....

John mungo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
1,008
Reaction score
1,028
Naomba kwa anaejua kinapo patikana chuo/vyuo vya mafunzo ya mitambo(greda, winchi, skaveta nk. Anijuze tafadhali.
 
Naomba kwa anaejua kinapo patikana chuo/vyuo vya mafunzo ya mitambo(greda, winchi, skaveta nk. Anijuze tafadhali.

VETA wanayo course inaitwa AGROMECHANICS, nenda kaonane nao!
 
Kuna jamaa yangu anatafuta chuo cha driving bajaji kwa dar ?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Kajiunge na makampuni ya ujenzi ya barabara mpaka ujenzi ukiisha ushajua kila kitu.
 
Back
Top Bottom