Msaada kwa anayefaham technical colleges za serikali & kozi zake kulingana na huo ufaulu

Joined
Jul 15, 2024
Posts
19
Reaction score
15
Habarini wana JF : Kuna dogo apa amemaliza F4 last year ,alkua anasoma masomo ya sayansi lakin comb hazikubalance akapangwa HKL lakin nliongea naye na tukakubaliana n bora aende chuo moja kwa moja akasome kozi za ufundi,naombeni ushauri wenu tafadhali
-Ufaulu wake(phy ,Geo & B/math - D, Chem & bio - C ) english - C, alipata ll - 20
 
Muombee course kati ya hizi course mbili utanishkuru badae.
1. Ordinary Diploma in agro bioprocess Technology.
2. Ordinary Diploma in leather Products Technology.

Zote zinapatikana DIT Campus ya Mwanza na zote anapata mkopo full kutoka Loan Board.
 
Samahan mkuu hicho cha DIT unaweza kunielekeza kuapply
 
Back
Top Bottom