wasakatonge forever
Member
- Jul 15, 2024
- 19
- 15
Bio medical eng ndo ile inayohusiana na uhandisi wa vifaa tiba? Maana nliambiwa ina mahesab magumu sanaaDogo nenda chuo cha maji Ubungo pale au ukapige Biomedical equipment eng Must au arusha tech
Iv kwenye biomedical eng kuna fursa za kutosha / ndo kama clinical medicine?Bio medical eng ndo ile inayohusiana na uhandisi wa vifaa tiba? Maana nliambiwa ina mahesab magumu sanaa
Ndio hiyoBio medical eng ndo ile inayohusiana na uhandisi wa vifaa tiba? Maana nliambiwa ina mahesab magumu sanaa
Fursa zipo kibao kwa watu wa diplomaIv kwenye biomedical eng kuna fursa za kutosha / ndo kama clinical medicine?
Muombee course kati ya hizi course mbili utanishkuru badae.Habarini wana JF : Kuna dogo apa amemaliza F4 last year ,alkua anasoma masomo ya sayansi lakin comb hazikubalance akapangwa HKL lakin nliongea naye na tukakubaliana n bora aende chuo moja kwa moja akasome kozi za ufundi,naombeni ushauri wenu tafadhali
-Ufaulu wake(phy ,Geo & B/math - D, Chem & bio - C ) english - C, alipata ll - 20
Samahan mkuu hicho cha DIT unaweza kunielekeza kuapplyMuombee course kati ya hizi course mbili utanishkuru badae.
1. Ordinary Diploma in agro bioprocess Technology.
2. Ordinary Diploma in leather Products Technology.
Zote zinapatikana DIT Campus ya Mwanza na zote anapata mkopo full kutoka Loan Board.