Msaada: Kwa anayefahamu bei ya sasa ya mahindi ni sh ngapi?

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2021
Posts
338
Reaction score
683
Habarini wana jamvi,

Kama kichwa cha habari kinavo jieleza nauhitaji wa mahindi kuanzia tani moja, kwa yeyote mwenye nayo aje na ofa yake tufanye biashara, au kama unafahamu yanapopatikana na bei yake naomba msada wako.

Mawasiliano 0744666115
 
Mkuu naomba ukipata namim uniunganishe. Nahitaji Tani 5 niko Dar es salaam
 
Habarini wana jamvi,

Kama kichwa cha habari kinavo jieleza nauhitaji wa mahindi kuanzia tani moja, kwa yeyote mwenye nayo aje na ofa yake tufanye biashara, au kama unafahamu yanapopatikana na bei yake naomba msada wako.

Mawasiliano 0744666115
Njoo pm mkuu.
Kuna sehemu yanapatikana kwa 70k kwa gunia la debe sita!
 
Back
Top Bottom