Mangole Valles Michael
JF-Expert Member
- May 30, 2021
- 338
- 683
Upo sehemu ganiHabarini wana jamvi,
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza nauhitaji wa mahindi kuanzia tani moja, kwa yeyote mwenye nayo aje na ofa yake tufanye biashara, au kama unafahamu yanapopatikana na bei yake naomba msada wako.
Mawasiliano 0744666115
Habarini wana jamvi,

Njoo pm mkuu.Habarini wana jamvi,
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza nauhitaji wa mahindi kuanzia tani moja, kwa yeyote mwenye nayo aje na ofa yake tufanye biashara, au kama unafahamu yanapopatikana na bei yake naomba msada wako.
Mawasiliano 0744666115
70K gunia la debe sita mkuu.Mkuu naomba ukipata namim uniunganishe. Nahitaji Tani 5 niko Dar es salaam
Habari vipi umefanikiwa kupata mahindi?Mkuu naomba ukipata namim uniunganishe. Nahitaji Tani 5 niko Dar es salaam