Msaada: Kwa anayefahamu bei za RAM za pc za dell lattitude anisaidie

Msaada: Kwa anayefahamu bei za RAM za pc za dell lattitude anisaidie

DAN LOKOMOTIVE

JF-Expert Member
Joined
Dec 16, 2016
Posts
1,528
Reaction score
1,955
Naomba kufahamishwa bei za ram za dell kwa sababu nataka niongezee pc yangu . Nitashukuru sana wakuu
 
RAM ziko za kila aina so ukisema tu "Dell" hakuna anayeweza kujua ni ipi kama una model ya hiyo computer nenda site kama
kisha andika model yako humo itakwambia inahitaji RAM ya aina gani na kiasi gani kinaweza kuwa supported kisha pita maduka mawili matatu na hizo taarifa utajua pia unaweza kuagiza aliexpress etc.

Kama hauna model itabidi ufanye upelelezi wa karibu zaidi kujua una motherboard gani kisha igoogle kiujua specs zake.
 
Back
Top Bottom