aliekatakamba humutuu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2024
- 1,439
- 2,412
hapa wapo madaktari wenye uzoefu tulia dogo sawa?Nenda hospital kwani hospital kazi yake nini
ulcers ndio nini kiongozi?Wewe ni jinsia Gani? Kama ni mwanamke kapime mimba. Kama sio nenda hospital huenda unasumbuliwa na ulcers...
Mimba Changaulcers ndio nini kiongozi?
Atembee na pot la kunyea pia usisahau kumwambiahakikisha unatembea na hotpot la chakula ukioba kinapubgua wewe ongeza kwenyebpot kikisha usisahauvkua na back upbplan tembea na unga mchele maharage na jiko lako ww ukiona mambo yanapungua ingia jikon pika maana hospitali huzijui wwla huzion sasa kaa pembeni tuhudumie wengine
Vidonda vya tumboulcers ndio nini kiongozi?
Inaonekana vidonda vya tumbo (ulcers) vimeanza. Anza kutafuta dawa haraka kabla havijawa tatizo kubwa zaidi. Kwasasa tumia dawa inaitwa Relcer ni antiacid inapatikana pharmacy. Itatuliza maumivu. Epuka vyakula vyenye acid nyingi.kunatatizo latumbo kuuma limenianza kama sikutano hivi
chakula kikipungua kidogo tu tumbo linaniuma kituambacho siokawaida yangu
hapa penyewe linaniuma nafanya hima nikanywe supu ili litulie
shida ni nini wajuzi/wenye uzoefu
mana linanikosesha raha
mataq wewe kama ujuzi huna kaakimyahakikisha unatembea na hotpot la chakula ukioba kinapubgua wewe ongeza kwenyebpot kikisha usisahauvkua na back upbplan tembea na unga mchele maharage na jiko lako ww ukiona mambo yanapungua ingia jikon pika maana hospitali huzijui wwla huzion sasa kaa pembeni tuhudumie wengine
duhVidonda vya tumbo
mfano vyakula gani kiongoziInaonekana vidonda vya tumbo (ulcers) vimeanza. Anza kutafuta dawa haraka kabla havijawa tatizo kubwa zaidi. Kwasasa tumia dawa inaitwa Relcer ni antiacid inapatikana pharmacy. Itatuliza maumivu. Epuka vyakula vyenye acid nyingi.
hehehehehe bado hujasema, yaani mpaka useme, vipi kishapungua??mataq wewe kama ujuzi huna kaakimya
Beba na pot la kunyeamataq wewe kama ujuzi huna kaakimya
Mimba hiyo bibie!Kuna tatizo la tumbo kuuma limenianza kama siku tano hivi
Chakula kikipungua kidogo tu tumbo linaniuma kitu ambacho sio kawaida yangu
Hapa penyewe linaniuma nafanya hima nikanywe supu ili litulie
Shida ni nini wajuzi/wenye uzoefu
mana linanikosesha raha
Acid ni chakula cha aina gani mkubwa?Inaonekana vidonda vya tumbo (ulcers) vimeanza. Anza kutafuta dawa haraka kabla havijawa tatizo kubwa zaidi. Kwasasa tumia dawa inaitwa Relcer ni antiacid inapatikana pharmacy. Itatuliza maumivu. Epuka vyakula vyenye acid nyingi.