Msaada kwa anayefahamu hali hii ninaopitia

Dalili ya awali ya madonda Tumbo fika hospital unye wachukue mavi wayapime waangalie bacteria wanaokusumbua ili uanze kupata dawa sahihi kwa muda sahihi kumbuka ukiwahi mapema utapona mapema mwisho Madonda yanatesa
sawa mkuu
 
Pole sana.

Ni muhimu ukafika hospitalini ukaonane na daktari ili akufanyie uchunguzi na vipimo, ikiwemo choo (H-pylori) nk.

Dalili mojawapo ya madonda ya tumbo ni kupata maumivu ambayo wakati mwingine hupungua baada ya kula.

Kwa hiyo fika hospitalini ili uhudumiwe.

Kila la kheri.
 
asante mkuu
 
Wadau wanakujibu ovyo sababu wanaona hukupaswa kuja JF ungeenda hospital.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…