Msaada kwa anayefahamu hali hii ninaopitia

ok nimekuelewa wengi nivilaza humu.
 
sio fani yangu nitajuaje sasa.?

ok unaeewa nini kuhusu camshaft?
Mambo ya afya ambayo ni madogo madogo kama hayo sio ishu ya fani mzee, yaani kujua dalili za malaria, jinsi ya kujikinga na malaria ni ishu ya kua na fani ya udaktari mzee??

Hizo ulcers hata mashuleni tunazisoma, ukiwa na sonona, huli utaonywa kua utapata "ulcers wewe"
 
Daah nilitumia ommiplazo ilinisaidia sana kila baada ya masaa manane nameza kidogo kimoja .
 
toa ujinga wako hapa.unajifanya mjuaji kumbe hujiu
 
Hiyo H. Pylori inasingiziwa tu ili watu wauze amoxyl kwa wingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…