Msaada kwa anayefahamu hali hii ninaopitia

toa ujinga wako hapa.unajifanya mjuaji kumbe hujiu
Hujiu ndio kitu gani? Kwamba hata kuandika nayo sio fani yako??

Na unapoanza sentensi anza na herufi kubwa, baada ya nukta (.) pia unaanza na herufi kubwa. Mwisho wa sentensi weka nukta pia.

Simu janja zetu zimerahisisha hili, unaweza weka mipangilio hiyo kwenye rununu yako.
 
maTAk0weWe
 
Inaonekana vidonda vya tumbo (ulcers) vimeanza. Anza kutafuta dawa haraka kabla havijawa tatizo kubwa zaidi. Kwasasa tumia dawa inaitwa Relcer ni antiacid inapatikana pharmacy. Itatuliza maumivu. Epuka vyakula vyenye acid nyingi.
Ambavyo ni vipi hivyo....mtanzania Mimi nijitenge navyo
 
NDUGU AMEELEZA VIZURI NA KWA KINA
Nashauri usitumie pombe, vyakula vya vyenye asidi nyingi mf. Maharagwe pia usitumie soda Wala energy drinks kwa Sasa.
*Ukihitaji tiba asili nijuze PM nikusaidie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…