Msaada kwa anayefahamu Iringa University

Msaada kwa anayefahamu Iringa University

Jammy Sam

New Member
Joined
Aug 31, 2013
Posts
2
Reaction score
0
Habari zenu wana jf, naomba nifahamishe kuhusu Iringa University kwa anayekifahamu pia kipo Iringa sehemu gani.
 
Iringa Univ zamani Tumaini University-Iringa College
 
Hicho Chuo ni kile kilichokuwa kinaotwa tumaini tawi la iringa ndo kinajitegemea na kinaitwa hivyo, Chuo kipo manispaa ya iringa sehemu inaitwa semtema ila ni pembeni kidogo na mji usafiri ni wa uhakika karibu
 
Nashkuru kwa maelezo, je vp malazi ni chuoni au unaweza panga nje ya chuo?
 
Da mkuu hata mimi nilikuwa na mkanganyiko juu ya hilo hapa sasa nimeng'amua
 
Kuhusu malazi chuo kina hostel zake lakini sio nyingi na idadi kubwa ya wanafunzi wamepanda out ov campas......
 
Da naomba kama kuna mdau anasellectio za BED,hapo chuoni anisaidie mana tcu naona cjawaelewa.
 
Back
Top Bottom