J Jammy Sam New Member Joined Aug 31, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Sep 2, 2013 #1 Habari zenu wana jf, naomba nifahamishe kuhusu Iringa University kwa anayekifahamu pia kipo Iringa sehemu gani.
Habari zenu wana jf, naomba nifahamishe kuhusu Iringa University kwa anayekifahamu pia kipo Iringa sehemu gani.
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Sep 2, 2013 #2 Iringa Univ zamani Tumaini University-Iringa College
mnyikungu JF-Expert Member Joined Jul 26, 2009 Posts 1,962 Reaction score 2,477 Sep 2, 2013 #3 Hicho Chuo ni kile kilichokuwa kinaotwa tumaini tawi la iringa ndo kinajitegemea na kinaitwa hivyo, Chuo kipo manispaa ya iringa sehemu inaitwa semtema ila ni pembeni kidogo na mji usafiri ni wa uhakika karibu
Hicho Chuo ni kile kilichokuwa kinaotwa tumaini tawi la iringa ndo kinajitegemea na kinaitwa hivyo, Chuo kipo manispaa ya iringa sehemu inaitwa semtema ila ni pembeni kidogo na mji usafiri ni wa uhakika karibu
J Jammy Sam New Member Joined Aug 31, 2013 Posts 2 Reaction score 0 Sep 2, 2013 Thread starter #4 Nashkuru kwa maelezo, je vp malazi ni chuoni au unaweza panga nje ya chuo?
Ubwabwaz Senior Member Joined Apr 14, 2013 Posts 146 Reaction score 27 Sep 2, 2013 #5 Da mkuu hata mimi nilikuwa na mkanganyiko juu ya hilo hapa sasa nimeng'amua
A Asseid jr Member Joined Sep 4, 2013 Posts 14 Reaction score 0 Sep 10, 2013 #6 Kuhusu malazi chuo kina hostel zake lakini sio nyingi na idadi kubwa ya wanafunzi wamepanda out ov campas......
Kuhusu malazi chuo kina hostel zake lakini sio nyingi na idadi kubwa ya wanafunzi wamepanda out ov campas......
A Al-shabaab JF-Expert Member Joined Aug 24, 2013 Posts 1,791 Reaction score 619 Sep 10, 2013 #7 Asseid jr said: Kuhusu malazi chuo kina hostel zake lakini sio nyingi na idadi kubwa ya wanafunzi wamepanda out ov campas...... Click to expand... wamepanda>wamepanga campas>>campus
Asseid jr said: Kuhusu malazi chuo kina hostel zake lakini sio nyingi na idadi kubwa ya wanafunzi wamepanda out ov campas...... Click to expand... wamepanda>wamepanga campas>>campus
N Nyigo Jackson Jn Member Joined Sep 2, 2013 Posts 88 Reaction score 7 Sep 10, 2013 #8 karbu xana iringa usisahau koti za kutosha bro couz dah kuna ubaridi wa kutosha!
A Asseid jr Member Joined Sep 4, 2013 Posts 14 Reaction score 0 Sep 10, 2013 #9 Poa, unasoma kozi gni pale na mwaka wa ngapi@nyigo
R Rwankomezi JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 3,285 Reaction score 2,636 Sep 13, 2013 #10 Da naomba kama kuna mdau anasellectio za BED,hapo chuoni anisaidie mana tcu naona cjawaelewa.