risasi son
Member
- Jun 1, 2014
- 22
- 3
Hinategemea
Anaweza kupitia diploma kwanza yaani clinical officer then anaweza kusoma degree kwa kutumia cheti cha degree. Nazani umenifahamu.
Hapana...huwa anasomea sayansi ya mimea au mifugo
inategemea na nini mkuu...?
unaweza kusomea udaktari wa binadamu!!!! wasikudanganye hao jamaa
Una miaka mingapi ?
unaweza kusomea bt vyuo vya private like bugando,kcmc etc broo anasoma apo alikua cbg...bt kuna coz nying za kusoma na zenye ela kuliko udaktar labda km unaupenda udaktar