Msaada kwa anayefahamu Kuhusu Uwakala wa Tigopesa, M-pesa, Airtel Money na LUKU

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana jf mm ninataka niwe wakala wa mpesa,airtel money,tigo pesa na Luku lakini sijuwi gharama za hivi vitu plz kwa anaejuwa naomba anielekeze Mpesa gharama yake shilling ngapi,airtell money shilling ngapi gharama zaka,tigo pesa gharama zake kiasi gani na Luku gharama zake ni kiasi gani plz naombeni mnisaidie jaman kwa anayefahamu

Thanx in advance
 
Jamaaan hakuna hata anayejuwa
 

nenda tra upate leseni... then nenda voda airtel na kwingine ukachukue line buuure.
voda n bure lkn wengne sina uhakika nao..
 
chukua machine ya max malipo itakusaidia kuuza luku na kuhusu hizo line kuna watu wanaziuza humu jf tembelea site ya matangazo madogo madogo utapata.ukitaka kupata kutoka voda na tigo inawezekana ila itabidi usiwe na haraka maana watakusubirisha sana
 
Utaratibu ni huu
Kwanz pata TIN toka TRA kisha lesen ya biashara toka manispa ambapo itakuchukua kama wiki 5 hivi. kisha peleka hizo document ofisi za wakala wakuu wa tigo au airtel money, kwa voda huwa wanatoa wenyewe ofisin kwao
inaweza chukua wiki3 mpaka miezi6 baada ya kupeleka hizo doc. coz huwa wanatoa kwa awamu
 
ukitaka za fasta unaweza nunua kwa waskaji ambao wameshindwa biashara japokuwa kuwa na line isiyo na jina lako panachangamoto zake
 
chukua machine ya max malipo itakusaidia kuuza luku na kuhusu hizo line kuna watu wanaziuza humu jf tembelea site ya matangazo madogo madogo utapata.ukitaka kupata kutoka voda na tigo inawezekana ila itabidi usiwe na haraka maana watakusubirisha sana

MaxMalipo itamfaa sana kozi ukiwa nayo huna haja ya kuwa na line ya M-Pesa Max Malipo iko connected na huduma za M-Pesa, pia ataweza kuuza umeme wa Luku na wa Meter za kawaida kwa baadhi ya maeneo pia una uwezo wa kuuza mda wa maongezi voda/tigo/airtel rusha utauza vifurushi vya tv's kama dstv, azam tv n.k pia kulipia bili za maji kama dawasco n.k n.k kama uko waone ofisini kwa Millenium Tower Kijitonyama
 


Mkuu Nafikiri voda hawana ubia na Max-malipo kufanya m-pesa
 

Gharama yake ni shillingi ngapi?
 
Mkuu Nafikiri voda hawana ubia na Max-malipo kufanya m-pesa
kuna mtu niliemenda kumchukulia mashine ya MaxMalipo mwezi wa nane mwaka pale millenium Tower na Training nilipewa mimi mwenyewe Huduma ya M-Pesa ipo na walisema wako kwenye mazungumzo na Tigo na Airtel kwa ajili ya kuweka Airtel-money na Tigo-Pesa
 
mashine za max malipo na cell com netwark zao sio nzuri kila mara inagoma.
 
ukitaka hizo line za m pesa au airtel money nicheki hapa 0755163925
 
Kuna line ya tigo pesa laki5 kwa anayehitaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…