Nimefuta neno pm mkuu, kuwa na amani karibu.Swali uulize hapa majibu PM, huu ni ubinafsi kiwango cha juu sana. Hutaki na wengine wafaham?
Sawa.Sasa,humu tumejaa (si wote zingatia) tunajua kiswahili zaidi.Ikikupendeza tufafanulie hiyo "screen house" ndiyoni?
Nafikiri kwa Arusha itakuwa rahisi kupata hitaji lako maana kule mambo ya camping ndio mahala pake.Habari zenu wakuu, ningependa kufahamu kama kuna mtu anafahamu taasisi ya kiserikali au kampuni binafsi inayokodisha screen house kama unafahamu naomba unijulishe.
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Itakuwa ni nyumba ambayo kuta zake ni screen kama TV..yaani ukiwasha TV ukuta mzima unaonyesha pande zote nne.Sawa.Sasa,humu tumejaa (si wote zingatia) tunajua kiswahili zaidi.Ikikupendeza tufafanulie hiyo "screen house" ndiyoni?
Mkuu mweeeeeee!Itakuwa ni nyumba ambayo kuta zake ni screen kama TV..yaani ukiwasha TV ukuta mzima unaonyesha pande zote nne.
Msinipopoe jamani nimejaribu kuimagine
Niambie ni kitu ganiπMkuu mweeeeeee!
Nyumba zile za kufanyia mapumziko kama tuhema flani hivi mkuu, uki google hapo utakiona mkuuNiambie ni kitu ganiπ
Ndo kama hizi kumbeπ π .Nyumba zile za kufanyia mapumziko kama tuhema flani hivi mkuu, uki google hapo utakiona mkuu
Bongo raha sana π π πItakuwa ni nyumba ambayo kuta zake ni screen kama TV..yaani ukiwasha TV ukuta mzima unaonyesha pande zote nne.
Msinipopoe jamani nimejaribu kuimagine
Nimejifunza kitu kipya leo. Sikuwahi kujua zinaitwa hivyo πBongo raha sana π π π
Dah sasa ukiwa humu mbwaza inalika kweli?Ndo kama hizi kumbeπ π .
Asante kwa kunikumbusha kutumia Google View attachment 2423033
Inalika vizuri tuπ πDah sasa ukiwa humu mbwaza inalika kweli?
Kweupe hivo! Mi siwezi aisee labda tukazungushie vitenge kwa ndaniInalika vizuri tuπ π
Mtafanya usiku giza likiingiaKweupe hivo! Mi siwezi aisee labda tukazungushie vitenge kwa ndani
Haswa hapo ni mapumziko tu ya mwaka baada ya kuzikusanya π€£π€£π€£Ndo kama hizi kumbeπ π .
Asante kwa kunikumbusha kutumia Google View attachment 2423033
Nazungumzia hizi, wengine wamezoea kuziita screenhouse na wengine huziita greenhouse. Ahsante sana kwa kutuma na picha.