mimi ni kijana wa kitanzania ninayetaka kujiingiza katika biashara ya kilimo cha matunda na mboga mboga ninaandaa business plan lakini nimekwama katika kuandika market analysis kutokana na kutopata takwimu muhimu. napenda kupokea mawazo yako WhtatsApp +255714729460