Msaada kwa anayefahamu

Msaada kwa anayefahamu

mandinka

Senior Member
Joined
Apr 21, 2014
Posts
186
Reaction score
37
Kuna course ya industrial automation naitafuta muda mda mrefu.Kwa anayefahamu ni chuo gani Tanzania kinatoa hiyo course naomba anifahamishe.ahsanteni
 
Unataka soma diploma au certificates? DIT wanafunfisha short course.
 
Certificate mkuu nataka kusoma!ni kwa mda gani mkuu kwa cerficate?
 
Back
Top Bottom