NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,954
Habari Wadau. Naomba msaada kwa yeyote anae ifahamu HYTECH GROUP (T)LIMITED Ambayo Mkurugenzi Wake Anajitambulisha Kwa Jina La ELIBARIKI WELLINGTONE,Kampuni yake Inajishughulisha Na Ufadhili Wa Wanafunzi Wenye Ufaulu Mzuri Wa Masomo Ya Sayansi