NZURI PESA JF-Expert Member Joined Mar 25, 2011 Posts 5,958 Reaction score 2,954 Aug 18, 2014 #1 Habari Wadau. Naomba msaada kwa yeyote anae ifahamu HYTECH GROUP (T)LIMITED Ambayo Mkurugenzi Wake Anajitambulisha Kwa Jina La ELIBARIKI WELLINGTONE,Kampuni yake Inajishughulisha Na Ufadhili Wa Wanafunzi Wenye Ufaulu Mzuri Wa Masomo Ya Sayansi
Habari Wadau. Naomba msaada kwa yeyote anae ifahamu HYTECH GROUP (T)LIMITED Ambayo Mkurugenzi Wake Anajitambulisha Kwa Jina La ELIBARIKI WELLINGTONE,Kampuni yake Inajishughulisha Na Ufadhili Wa Wanafunzi Wenye Ufaulu Mzuri Wa Masomo Ya Sayansi