Habari zenu?, Naombeni msaada WA TAARIFA Kwa anayeifahamu machame girls, kuna ndugu yangu anaishi iringa, kachaguliwa huko form five HGL huko., Sasa htajaifahamu vizuri performance yake. Tunajiuluza aende huko machame au akasone private tu.
Machame girls ni miongoni mwa shule bora kabisa za wasichana kasikazini. sijui kwa sasa ila ni miongoni mwa shule za serekali zilizokuwa zinafanya vizuri sana.
karibu Moshi