Kwenye hiyo post za shule pale click kweny jina la shule aliyo pangiwa utapataHabari wana JF
Kuna mdogo wangu anaingia kidato cha Tano, kapangiwa shule inaitwa ZANZULI SECONDARY ipo SHINYANGA.
Cha ajabu ni kwamba Joining instruction form ya shule hii haipatikani kabisa kwenye tovuti ya tamisemi. Na hata nikiingia google siipati kabisa, nakutana na shule inaitwa ZUNZULI ambayo ni OLevel (badala ya ZANZULI).
Naomba msaada kwa mtu anaeifaham shule hii kujua ipo shinyanga wilaya gani na mawasiliano kama anayo.
Shukrani
Aende tu hvy atakuta kule shule kila kitu. Pia unaweza kuta wamefanya hvy kwa makusudi maybe wauze vifaa vyote hapo shulemkuu ukiclick kwenye hiyo shule hairespond, tofauti na shule nyingine. Ndio maana nikaja huku kuona kama kuna mtu
Shinyanga DC sio Mjini kaka Shinyanga DC nfio Solwa ipo huko huko mkuu, Angekuwa Shinyanga MC ndio hapo MjiniNadhani hujasoma vzr mkuu nilichoandika. Shule aliochaguliwa yeye ni ZANZULI sio ZUNZULI unayoisema ww. Na wameonyesha ipo wilaya ya Shinyanga mjini (Shinyanga DC) sio Solwa