Msaada kwa anayeijua dodoma tafadhali.

Msaada kwa anayeijua dodoma tafadhali.

mtumakin

Member
Joined
Aug 12, 2013
Posts
23
Reaction score
6
Nimehamia dodoma kimaisha ,nataka kufuga kuku nataka kujua ni kuku gani wenye soko dodoma kati ya mayai na wanyama.natangululiza shukran.
 
Wote wana deal mkuu ila wa nyama ni zaid ya wa mayai.
 
Back
Top Bottom